SC
Karibu Tanzania SACCOS Congress 2026 — Jisajili sasa kama Mjumbe Binafsi au kama Kikundi/SACCOS! Karibu Tanzania SACCOS Congress 2026 — Jisajili sasa kama Mjumbe Binafsi au kama Kikundi/SACCOS! Karibu Tanzania SACCOS Congress 2026 — Jisajili sasa kama Mjumbe Binafsi au kama Kikundi/SACCOS!
SACCA CONGRESS 2026
Usajili wa Kikundi

Sajili Wanachama Wengi wa SACCOS Moja kwa Mara Moja

Endapo unawakilisha SACCOS na unataka kusajili wanachama 8, 10 au zaidi kwa wakati mmoja, tumia fomu hii badala ya kila mmoja kujisajili peke yake. Wewe (Kiongozi wa Kikundi) utapata akaunti moja ya kuingia itakayokuwezesha kuona, kuhariri au kuongeza wanachama wapya wakati wowote baadaye.

A. Taarifa za SACCOS/TAASISI na Kiongozi wa Usajili

B. Orodha ya Wanachama (2)

Unajisajili peke yako? Tumia fomu ya usajili binafsi · Tayari una akaunti? Ingia hapa